Article 4
Mwandishi wa habari na mchambuzi wa mambo mbalimbali nchini Tanzania Ndg Mathias Canal (Kushoto) akikabidhiwa tuzo ya cheti cha heshima kwa mchango wa utendaji katika jamii na Ndg Mohamed shabani...
View ArticleBALOZI WA CHINA ATETA NA DK MENGI, AAHIDI KUSAIDIA MABADILIKO
Balozi wa China nchini Tanzania, Mh. Wang Ke (kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dk. Reginald Mengi kuhusu ushirikiano wa kibiashara baina ya makampuni ya China na Tanzania...
View ArticleHABARI: Taasisi ya Mo Dewji yatoa msaada kwa watoto wenye saratani
Taasisi ya Mo Dewji imetoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya magonjwa ya saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam.Msaada ambao...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UUNGANISHWAJI WA UMEME WA GRIDI YA...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa uunganishwaji umeme wa Gridi ya Taifa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha...
View ArticleRITTA KABATI CHALLENGE CUP MSIMU 2018 WAFUNGULIWA RASMI,TIMU ZAOMBWA KUCHUA...
kulia ni Mwenyekiti wa mashindano ya Ritta Kabati challenge cup 2018 na kushoto ni katibu wa kamati ya mshindano hayo walipokuwa wakiongea na vyombo vya habari kwenye ofisi zao zilizopo manispaa ya...
View ArticleWABUNGE WA MIKOA YA KUSINI WAIMWAGIA SIFA SERIKALI NA TANESCO KWA KUMALIZA...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(kushoto), akifurahia jambo na Wazitri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, (wapili kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda,...
View ArticleBANK OF AFRICA ORGANISES AN IFTAR DINNER FOR CUSTOMERS IN DAR ES SALAAM
The Deputy Managing Director of BANK OF AFRICA – TANZANIA, Mr. Wasia Mushi delivers his welcoming remarks at the bank’s IFTAR Dinner at the Serena Hotel in Dar es salaam.The Deputy Managing Director of...
View ArticleLEO NI SIKU YA TATU YA KAMPUNI YA ASAS DAIRIES KUGAWA MAZIWA KWA WANAFUNZI...
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Leo ni siku ya tatu kwa kampuni ya maziwa ya Asas Dairies Ltd toka imetenga pakiti 120,000 za maziwa yenye thamani ya Sh Milioni 60 zilizoanza kugaiwa bure kwa wanafunzi zaidi ya...
View ArticleBenki ya CRDB na Jeshi la Magereza kuendelea kuboresha uhusiano wa kibiashara
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (kushoto) akizungumza na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini, juu ya kuangalia njia bora za kudumisha uhusiano baina ya Benki...
View ArticleWater Mission Tanzania yazindua mradi wa maji wilayani Mwanga
Mkuu wa wilaya ya Mwanga, Bw. Aron Mbogho akikata utepe kuzindua mradi. Mmoja wa wakazi wa kata ya Kiruru akitwishwa ndoo ya maji aliyochota kwenye mradi.Baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla ya...
View ArticleJUMIA FOOD YASHIRIKIANA NA WATEJA KUSAIDIA WATOTO
Na Jumia Food TanzaniaKatika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Jumia Food kwa kushirikiana na wateja wake inaendesha kampeni ya kusaidia kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga...
View ArticleKINANA, MBUYU KWENYE MSITU WA SIASA
Na Emmanuel J. Shilatu Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Abdulrahman Omar Kinana anatajwa kuwa katika orodha ya safu za viongozi mibuyu na migude kwenye misitu minene ya siasa yenye...
View ArticleVIJANA WASHAURIWA KUWA WASHIRIKI WA MAENDELEO SIO WANAOSUBIRI
Rais wa AIESEC Tanzania, Amani Shayo akizungumza kuhusu AIESEC na kazi zake ambapo alisema jukwaa hilo lengo lake ni kuwasaidia vijana kujitambua katika masuala ya uongozi, anaamini kwamba jukwaa ni...
View ArticleRC DKT. KEBWE ATAKA WANAFUNZI WOTE WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KUPATIWA...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akifungua majengo ya shule ya Chagongwe wakati wa ziaya yake ya kukagua miradi ya maendeleo. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG-Gairo. Mkuu...
View ArticleMKANDARASI WA KITUO CHA AFYA GAIRO ATAKIWA KUMALIZA KAZI KWA WAKATI
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe (aliyeshika tofali na mwiko) na Mkuu wa wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe (mwenye blauzi nyekundu) pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya...
View ArticleFOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY WATOA SOMO KUELEKEA UCHAGUZI NCHINI
aMkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society Bw. Francis Kiwanga akitoa ufafanuzi mbele ya wageni waalikwa mapema leo jijini Dar es salaam wakati akifungua mkutano wa kujadili nafasi ya Asasi...
View ArticleKAMPUNI YA REGUS YAFUNGUA KITUO KIPYA CHA BIASHARA DAR ES SALAAM
Kampuni ya kimataifa ya Regus, ambayo inajihusisha na kupangisha ofisi za kisasa za muda na za kudumu imefungua kituo kipya cha nne cha ofisi za kupangisha jijini Dar es Salaam . Jengo jipya la ofisi...
View ArticleItazame Simulizi mpya iliyopewa jina la ‘Kinyago’
Kwa nafasi ya upendeleo New Talents tunachukua fursa hii kukupa nafasi ya kwanza kuitazama hii video ya Simulizi mpya iliyo beba ujumbe mkubwa unaotakiwa kuwafikia Wanadamu, kwani Dunia inamambo mengi...
View ArticlePROFESA WA WATOTO MUHAS ATOA MADA YA USONJI NA CHANGAMOTO YA UFAHAMU YA JAMII...
Prof. Karim Manji, Profesa na Daktari Bingwa wa Watoto akitoa mada ya usonji (autism) na changamoto ya ufahamu wa jamii na matunzo ya watoto wenye usonji nchini Tanzania katika ukumbi wa mihadhara...
View ArticleWAZIRI MWIJAGE AIPONGEZA KAMPUNI YA TOTAL KWA KUZINDUA MAFUTA YA MAGARI...
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafuta ya Total Excellium ya petrol na Diesel ambayo yana uwezo wa kusafisha injini na...
View ArticleZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA
Zantel inapenda kuwataarifu wateja wake, wadau na jamii kwa ujumla kuwa imesimamisha mauzo ya laini zake za simu kwa mawakala wake wakuu kuanzia sasa. Maamuzi haya magumu yamechukuliwa kutokana na...
View ArticleJAMII ISHIRIKISHWE MABADILIKO TABIA NCHI KUWA NA KILIMO CHENYE TIJA
Mshehereshaji wa Mdahalo wa Kitaifa wa Kilimo cha kisasa kinachozingatia mabadiliko ya tabia nchi, Mtafiti mshiriki wa ESRF, Abdallah Henku akitoa utambulisho wa wanenaji wa mdahalo huo uliofanyika...
View ArticleMWENYEKITI CCM IRINGA KUNYANG’ANYA KADI WANACHAMA WANAOVUNJA KANUNI,SHERIA NA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Albert Chalamila ametoa onyo kali kwa wana CCM wanaokiuka kanuni na katiba ya chama cha mapinduzi kwa kuanza kampeni za chini kuwania ubunge na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AIPONGEZA HOSPITALI YA MAMC-MLOGANZILA KWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (mwenye kilemba cha bluu) anayemfuatia ni Makamu Mkuu wa Chuo, Huduma za Hospitali, Prof. Said Aboud wakipata maelezo kutoka...
View ArticleMWONGOZO WA UKUAJI BORA WA MIJI WAZIDI KUNOLEWA
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) Dkt. Tausi Kida akitoa neno la ukaribisho wakati wa mkutano wa mabaara kuhusu mabadiliko ya Tanzania kuelekea kwenye miji...
View Article