Growing Tanzania economy a driver for new Heineken Star Bottle.
Heineken Tanzania Country Manager, Mr. Uche Unigwe, cites economic growth and a shift towards premium buying patterns amongst their target consumer as a reason why Heineken has decided to launch their...
View ArticleNI KWELI TULIBURUDIKA LAKINI WATOTO NYAMBULI MGANGA (3) NA GOZBERT BWERE (3)...
Ukiangalia katika picha hii utawakumbuka watoto hawa Nyambuli Mganga (5) na Gozbert Bwere (3) kutoka mkoani Mara ambao walikuja jijini Dar es salaam na kikundi cha ngoma za asili kutoka mkoani humo,...
View ArticleFwd: RAIS - STATEMENT ON RAVOLAMANANA TODAY AT THE STATE HOUSE IN DAR ES SALAAM
Tanzania's President His Excellency Dr. Jakaya Mrisho Kikwete with Former Madagascar President, His Excellency Marc Ravalomanana during a press conference at the State House in Dar es Salaam December...
View ArticleVIDEO YA SIKU RAY C ALIPOFIKA IKULU KUMSHUKURU RAIS KIKWETE KWA MATIBABU
Siku mwanamuziki wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila, maarufu kama RAY C, alipomtembela Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Desemba 10, 2012 Ikulu jijini Dare s Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA TANZANIA (JET) WAPEWA MWANGA YALIYOJIRI...
Afisa Habari wa ngazi ya kimataifa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi Stella Vuzo akiwakaribisha waandishi wa chama cha habari za Mazingira Tanzania (JET) na kuwatambulisha wazungumzaji...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA WAKAZI WA JIJI LA DAR
Aneth Kushaba AK 47 sambasamba na Kionjo kipya cha Juma lililopita mrembo Doris (kushoto) pamoja Mary Lukas wakishambulia jukwaa Ijumaa iliyopita katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.Mary...
View Articlekoffi olomide atua jijini dar tayari kwa onesho lake la jumamosi
Mwanamuziki nyota wa dansi kutoka nchini DRC-Kongo,Koffi Olomide akiwasalimia baadhi ya mashabiki wake waliofika kumlaki usiku huu mara baada ya kuwasili akiwa sambamba na skwadi lake zima la Quartier...
View ArticleKOFFI NDANI YA SERENA HOTEL
Mwanamuziki kutoka nchini DRC-Congo,Koffi Olomide akitia saini moja ya bango lenye kampeni inayowatahadharisha madereva wa magari kunywa pombe kupindukia,ikiwa ni hatari kwa afya na usalama wao kwa...
View ArticleKAMPUNI YA UTALII YA TRAVEL PARTNER YASHUSHA BONGE LA SHEREHE KUFUNGA MWAKA 2012
Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Travel Partner akimtambulisha mkurugenzi wa Fedha Happnesy Eric Mashauri katika sherehe ya kufunga mwaka iliyofanyika kwenye ukumbi wa Happy Dragon Chinese...
View ArticleMhe. Membe aitakia kila lakheri na fanaka clouds media group kwenye shamra...
Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano ya Kimataifa,Mh Bernard Membe pichani kulia akiagana na Ofisa Habari wa Clouds Media Group,Simalenga Saimon mapema leo mchana,kwenye viunga vya ofisi hizo zilizopo...
View ArticleTIRIMA ENTERPRISES YAHAMASISHA USAFI WA MAZINGIRA KWA WAKAZI
Pichani Juu na Chini ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi ya Tirima Enterprises ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakifanyakazi ya kujitolea kuzibua mitaro katika Mtaa wa Mtambani relini eneo la...
View ArticleKoffi alivyotesa jijini Mwanza
Mwanamuziki Nyota wa kimataifa katika anga ya muziki wa dansi kutoka nchini DR-.Kongo Koffi Olomide akiwa ameambatana na mwanamuziki wake mahiri katika uimbaji aitwaye Cindy wakishukua jukwaani mara...
View ArticleMH. DKT. HUVISA AZINDUA TAARIFA YA HALI YA MAZINGIRA YA JIJI LA DAR ES SALAAM...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mh. Dkt Terezya Huvisa akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Taarifa ya Hali ya Mazingira ya Jiji la Dar es Salaam ambapo amesema katika Mkutano wa...
View ArticleUNIC na ILO ZAWANOA VIJANA KWA KUWAPA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI YATAYOWAWEZESHA...
Afisa habari Ngazi ya Taifa wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma akitoa maelezo ya awali kuhusiana na mafunzo hayo yanayolenga kuwawezesha vijana kuwa na uelewa na mbinu...
View ArticleNeno La Leo: Kitendawili Cha Embe Dodo Na Tunakokwenda..
Ndugu zangu, Jana alasiri pale Bagamoyo nilisimama kununua embe dodo. Akina mama wale wakarimu walinipokea kama mwenzao. Bei ya dodo niliyotajiwa ilinifanya pia nitafakari sana, niingiwe na huzuni pia....
View Articlekampuni ya prime time promotions yatoa milioni 105 kufanikisha shamra shamra...
Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd,Joseph Kusaga akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi millioni 105 kwa uongozi wa timu ya Yanga kwa ajili ya maandalizi ya mkutano...
View ArticleMh. Lowassa azindua josho la kisasa kwa mifugo kijiji cha Mfereji Monduli Juu
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Monduli juu,Mkoani Arusha wakati alipokuwa akiwasili kijijini hapo kwa ajili ya shughuli ya...
View ArticleMSTAHIKI MEYA JERRY SILAA ASHIRIKI IBADA MAALUM NA JUMUIYA YA SHREE SANATAN
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wahindu Tanzania Bw. Ramesha Patel akimpokea na kumtambulisha mgeni rasmi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wakati alipowasili kwenye msikiti mkuu wa Dhehebu hilo...
View Article