Quantcast
Channel: MRISHO'S BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4405

TIRIMA ENTERPRISES YAHAMASISHA USAFI WA MAZINGIRA KWA WAKAZI

$
0
0
Pichani Juu na Chini ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi ya Tirima Enterprises ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wakifanyakazi ya kujitolea kuzibua mitaro katika Mtaa wa Mtambani relini eneo la Vingunguti ikiwa ni kampeni ya kuhamasisha wakazi wa Vingunguti kufanya usafi katika maeneo yao kutokana na kushambuliwa na magonjwa wa kipindupindu mara kwa mara.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4405

Trending Articles