You + 11 More KUMEKUCHA MISS EAST AFRICA KUNYAKUA DOLA 30,000 MLIMANI CITY LEO
Mkurugenzi wa Kampuni ya Rena Event Limited Bw Rena Calist akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Seaescape iliyoko Mbezi Afrikana jijini Dar es salaam wakati akizungumzia matayarisho ya...
View ArticleJK AKUTANA NA WAKONGWE WA MUZIKI IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kikumbi Mwanza Mpango "King Kikii" Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Ally Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Shakila huku Carolla Kinasha na...
View Article147 Critics
Naleta kwenu mfululizo wa 147 Critics ambayo ni mahojiano ya wadau wa Filamu na Muziki yaliyofanywa na TFCA-Tanzania Film Critics Association(On line Platform) kuhusiana na marekebisho ya sheria ya...
View ArticleKrismasi Inaposheherekewa Na Watanzania Milioni Saba Tu! ( Makala, Mwananchi,...
Na Maggid Mjengwa,Ndugu zangu, Mwaka 1950 nchi yetu ilikuwa na idadi ya Watanzania wapatao milioni saba. Ni kwa mujibu wa takwimu za kisayansi. Takwimu hizo zinabainisha, ifikapo mwaka 2050, nchi yetu...
View ArticleMABONDIA WA ‘NDONGA ZA MWAKA’ WAPIMA UZITO KWA MPAMBANO WA KESHO
Mabondia wote wakiwa katika picha ya pamoja.Mada Maugo akiwa na mpinzani wake toka Uganda, Iga Jumaa.Mada Maugo akipimwa uzito.Mbwana Matumla naye akifanya zoezi hilohilo.Esther Kimbe akipima...
View ArticleX-MAS DAR LIVE: WATOTO WAJIACHIA KWA MICHEZO MBALIMBALI
Pichani juu ni taswira mbalimbali za watoto wakijiachia ndani ya Dar Live jana, kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondiaMbwana Matumla na David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga...
View ArticleDIAMOND, DIMPOZ WAFANYA KUFURU USIKU WA X-MAS DAR LIVE
...Chezea Diamond wewe!Watu weweee: Kila mmoja akiwa na shauku ya kumpa mkono Diamond....Leka dutigite: Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na Diamond wakiwapagawisha mashabiki kwa wimbo wa Leka...
View Articlehers TO You + 29 More JAHAZI MODERN TAARAB WAUPAMBA USIKU WA 'BOXING DAY' DAR...
MzeeYusuf akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Dar Live usiku wa 'Boxing Day'.Mke wa Mzee Yusuf, Leila Rashid, akizikonga nyoyo za wapenzi wa taarab usiku wa kuamkia leo.Khadja Yusuf...
View ArticleMKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO TASWA WAFANYIKA BAGAMO
Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys Bw. Ridhiwan Kikwete akifungua mkutano mkuu wa chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA unaofanyika kwenye Hoteli ya Kiromo...
View ArticleUtajiri wa Gesi Asilia: Tuwasikilize Watanzania wa Mtwara na Lindi. Tusipuuze
Mhe. Zitto KabweMaandamano ya amani yaliyofanyika mjini Mtwara siku ya alhamis wiki hii yameibua hoja mbali mbali kutoka kwa viongozi, wananchi, vyombo vya habari na mjadala wa siku nzima kwenye...
View ArticleUnique Model 2012
Mwanamitindo bora wa mwaka 2012 Catherine Masumbiga (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Unique Model Photogenic Elizabeth Pertty (kushoto) na Unique Model Talent Vestina Charles mara baada ya...
View ArticleTUZO HII NI KWA WADAU WOTE WA FULLSHANGWEBLOG NA KUKARIBISHA MWAKA MPYA 2013
Mkurugenzi wa Fullshangweblog.com Bw. John Bukuku kushoto akipokea tuzo hiyo kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katika maonyesho ya World Travel Market (WTM)Nchini...
View ArticleMjengwablog Itakujia Na Sura Mpya Jan 1, 2013!
Ndugu zangu,Kutokana na maoni ya wadau mbalimbali tunayo furaha kuwatangazia, kuwa Mjengwa Blog itatoka na muonekano mpya ifikapo Januari Mosi 2013.Maggid MjengwaMwenyekiti Mtendaji -Mjengwa Blog...
View ArticleIJUMAA YA MWISHO KWA MWAKA 2012 SKYLIGHT BAND YAVUMBUA KIPAJI KIPYA NI...
Sam Machozi a..k.a Sam Mapenzi akiongozaji waimbaji wenzake Aneth Kushaba (kushoto) sambamba na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake Ijumaa ya mwisho kwa mwaka 2012 katika kiota cha Thai Village...
View Article"NAFSI NI NYONGE" Tusameheane na maisha yaendelee. karibu 2013 kwa ufanisi...
Wapendwa ndugu,jamaa na marafiki popote pale mlipo,yamebaki masaa kadhaa kuuaga mwaka 2012,ambao kwa hakika ulikuwa na changamoto nyingi za kimaisha,dhoruba za hapa na pale wengi zilitukumba,lakini kwa...
View ArticleMSTAHIKI MEYA JERRY SILAA AKABIDHI ZAWADI ZA MWAKA MPYA KWA KITUO CHA...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akikabidhi Mbuzi kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tushikamane Children Care Trust Fund Bw. Gratho Messy Mbele (wa kwanza kulia) na Mkuu wa Shule ya...
View ArticleMeTL GROUP YADHAMINI MBIO ZA MARATHON ZA KILOMETA 10 USIKU WA MKESHA WA MWAKA
Mwandaaji wa Mashindano ya Marathon ya Kilomita 10 ya 'MeTL New Years Eve Midnight Race' Sarah Ramdhani ambaye pia ni mchezaji na amewahi kukiongoza chama cha Riadha Tanzania kwa miaka 10 ambapo...
View ArticleDAR LIVE NA SHAMRA ZA MWAKA MPYA, UZINDUZI ALBAMU YA ‘DOMO LA UDAKU’
Mashabiki wa Dar Live wakiwa na furaha ya kuuona mwaka mpya na burudani ya taarab.Umati ukirindima kwa burudani baada ya kutangaziwa kuwa mwaka mpya 2013 umeingia.Kundi la Kings Modern Taarab likikonga...
View ArticleSalamu Za Mwaka Mpya Kutoka Mjengwablog!
Ndugu zangu, Imekuwa ni utamaduni wangu kutuma salamu za Mwaka Mpya kwa wanakijiji wa Mjengwablog, marafiki zangu kwenye FB na wengine walio ndani na nje ya mitandao ya kijamii. Nimefanya hivyo tangu...
View Article