Quantcast
Channel: MRISHO'S BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4405

X-MAS DAR LIVE: WATOTO WAJIACHIA KWA MICHEZO MBALIMBALI

$
0
0
 
Pichani juu ni taswira mbalimbali za watoto wakijiachia ndani ya Dar Live jana, kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondiaMbwana Matumla na David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga Juma wa Uganda na Bahati Mwafyela atakayechapana na Chupaki Chipindi. Baada ya ndondi hizo wakali Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz watashusha shoo bab kubwa ndani ya ukumbi huo. Wapenzi wote wa burudani mnakaribishwa Dar Live na leo pia.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4405

Trending Articles