↧
EID MUBARAK 2015!
↧
Mama Salma Kikwete ajiunga na waombolezaji kwenye msiba wa Banza Stone
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015. Marehemu Banza Stone, aliyefariki jana mchana baada ya kuugua kwa muda mrefu, amezikwa jioni hii katika makaburi ya Sinza. Marehemu Banza Stone atakumbukwa kwa umahiri wake wa utunzi na uimbaji alipokuwa na bendi mbalimbali zikiwemo Twanga Pepeta, Tot na Extra Bongo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitambulishwa kwa Katibu wa bendi ya TOT, Gasper Tumaini, ambako marehemu Banza Stone aliwahi kufanya kazi enzi za uhai wake
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpa pole kaka wa marehemu alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wana familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji mama mzazi wa marehemu katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na kiongozi wa bendi ya African Stars Twanga Pepeta Asha Baraka katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji Haji Ramadhani Masanja, mtoto wa marehemu katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na Haji Ramadhani Masanja, mtoto wa marehemu katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Ramadhani Masanja "Banza Stone" likitolewa nyumbani tayari kwa mazishi Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
Waombolezaji wakilia kwa uchungu wakati mwili wa Banza Stone ukipelekwa mazikoni
Mama Salma Kikwete, Asha Barka na mama wa marehemu wakiwa na nyuso za huzuni wakati mwili wa merehemu Banza Stone ukipelekwa mazikoni
Mama Salma Kikwete akiagana na kiongozi na mwimbaji wa African Stars wana Twanga Pepeta ambaye alifanya kazi kwa karibu na Banza Stone tokea kuanza kwa bendi hiyo
Mama Salma Kikwete akiaga waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.
PICHA NA IKULU
↧
↧
HAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE KRANTZ MWANTEPELE
Leo tarehe 19 July ni siku ya kuzaliwa Mwanalibeneke la blogu Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA pia Mkurungezi Mtendaji wa KAJO ITECH kwa niaba ya wasomaji wetu tunapenda kukutakutakia maisha marefu na yenye baraka na fanaka tele.
Mungu akupe maisha marefu na kukupa mwongozo sahihi kwa ndoto zako za kuweza kutengeneza ajira kwa vijana wenye nia na ari ya kujiajiri .
Mnaweza kutembelea blog zinazomilikiwa na Mwanaharakati Mzalendo Media
Mwanaharakati Mzalendo Blog link www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com
Harakati360 link www.harakati360.blogspot.com
Mzalendo Times link www.mzalendotimes.blogspot.com
Na hivi karibuni kutazinduliwa MZALENDO ONLINE TV
Pia unaweza kumfuata Krantz katika mitandao ya kijamii kama
Facebook kwa jina la Mwanaharakati mzalendo https://www.facebook.com/MWANTEPELE
Instagram/ twitter @ mzalendo89
" HAPPY BIRTHDAY KRANTZ "
↧
MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI
Wananchi wakilitazama Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari baada ya kutaka kushusha Abiria na magari upande wa Kigamboni
Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni likiwemo gari maalumu la kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na lilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
↧
VIJANA CCM WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU ZA UBUNGE
Mtia nia ya kugombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Priscus Tarimo,akitoa maelezo yake kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Moshi mjini Donatha Mushi alipofika kwa ajili ya zoezi la uchukuaji wa fomu. |
↧
↧
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ARUDISHA FOMU
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wapili kulia), akirudisha Fomu katika Ofisi za Chama hicho kwa Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema (kulia) Dar es Salaam jana,hata hivyo mtemvu akiwa anatetea Jimbo lake. walio kushoto ni baadhi ya viongozi mbalimbali wa Jimbo la temeke wa chama hicho waliomsindikiza mbunge huyo
Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona Sengerema (kulia) akihakiki Fomu za Mbunge huyo mara alipokuwa akirudisha Ofisini hapo
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wapili kulia aliye kaa) akiwa ofisini hapo
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wa katikati) akiongea na waandishi wa habari mara alipo kuwa amewasilisha fomu.
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, Mariam Kisangi, akiongea jambo na waadishi wa habari mara baada ya Mbunge huyo kurudisha fomu
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa chama hicho.wakiwemo madiwani na wenyeviti walio msindikiza mbunge huyo
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
↧
SHOO YA DIAMOND KIINGILIO 200,000!
↧
DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE CHATO
Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi. Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli.
Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye kituo cha mabasi wilayani humo wakishangilia kwa furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao.
Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Chato na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo na shamra shamra za mapokezi kurindima kila kona wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli,huku wengine wakiwa wamebeba mabango kama hivyo pichani.
Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi. Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Luhavi akiwasalimia wachama wa CCM pamoja na Wananchi waliofika kumlaki Dkt Magufuli jioni ya leo katika kituo cha mabasi cha zamani ndani ya wilaya hiyo.
Ilikuwa ni shangwe tu jioni ya leo ndani ya Wilaya ya Chato ambako ndiko nyumbani kwa Mbunge na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli.
Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji wa Katoro mkoani Geita alipokuwa akipita njiani kuelekea wilayani Chato.Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli mkoani humo wananchi walijitokeza kwa wingi kila baada ya kilometa kadhaa na kuziba barabara wakita kumuona Dkt Magufuli na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake na chama cha CCM.
Mwananchi akiwa amekumbwa na joto la furaha mara baada ya kumuona Dkt Jonh Magufuli akiwa na msafara mzima wakielekea jimboni kwake Chato mkoani Geita.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.Magesse Mulongo akiwasalimia wananchi wa Chato jioni ya leo,kabla ya kumkaribisha Dkt John Magufuli aliyewasili mjini humo jioni ya leo akitokea mkoani Mwanza akijitambulisha kwa wananchi na kuwashukuru. Dkt Magufuli akizungumza jambo kwa maelfu ya wakazi wa mji wa Chato jioni ya leo
Dkt Magufuli akifurahia jambo mbele ya umati wa watu,mara baada ya kujitambulisha kwao.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru wakazi wa mji huo kwa kujitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi. Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli.
Maelfu ya Watu walijitokeza kumlaki Dkt Magufuli jioni ya leo mjini Chato
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa kuchaguliwa kwake katika nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chake kuwania nafasi ya Urais .PICHA NA MICHUZI JR-CHATO-GEITA.
↧
ACACIA YATUMIA MILIONI 400 KUJENGA MAABARA SHINYANGA
![]() |
Jengo la Maabara lililojengwa kwa ufadhili wa Mgodi wa Kuchimba Dhahabu wa Buzwagi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilani Shinyanga. |
![]() |
Add caption |
![]() |
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi,Mhandisi Philbert Rweyemamu akizungumza na waandishi wahabari mara baada ya kukabidhi majengo ya Maabara hizo. |
![]() |
Baadhi ya wananchi katika Manispaa ya Shinyanga waliojitokeza kushuhudia makabidhiano ya Maabara hizo. |
![]() |
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama na kamati za shule zilizonufaika na msaada huo wakifuatilia kwa makini hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wa wilaya. |
↧
↧
KADA WA CCM ASSENGA ALITAKA JIMBO LA KILOMBERO
Kada wa CCM, Abbakar Assenga akitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero mkoani Morogoro, mbele ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara, leo
Msanii wa muiziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba, akizungumza na umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kada wa CCM, Abubakari Assenga (kushoto) aliyetangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero kwenye mkutano huo
Ali Kiba akiwapa hi, umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Assenga kutangaza nia ya kuwania ubunge, jimbo la Kilombero mkoani Morogoro, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara, leo baada ya mechi ya fanali ya Kombe la Assenga iliyofanyika kwenye Uwanja wa Asante Afrika, Ifakara
Mchezaji wa timu ya Lumemo Ashir Mtenge (kushoto), akipambana na mchezaji wa Kining'ina Juma Ngulukila, timu hizo zilipoemnyana katika mechi ya fainali ya Kombe la Assenga, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara mkoani Morogoro leo. Kining'ina iliibuka bingwa wa kombe hilo baada ya kuicharaza Lumemo mabao 6-0 katika mechi hiyo.

Wachezaji wa Kining'ina wakishangilia bao la tano dhidi ya Lumemo wakati wa mechi hiyo
Msanii wa muziki, Ali Kiba, akifuatilia mechi ya Lumemo na Kining'ina ya fainali ya Assenga Cup kwenye Uwanja wa shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara, mkoani Morogoro, mwishoni mwa mechi hiyo, kada wa CCM, Aboubakar Assenga alitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero
Ali Kiba na Assenga wakiwa kwenye mechi hiyo
Mashabiki wakiwa kwenye mechi hiyo ya fainali ya ssenga Cup, kenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara mkoani Morogoro.
Wachezaji wa timu ya Kining'ina wakijinasibu baada ya kuibuka mabingwa wa Assenga CUP kwenye mechi hiyo
Wananchi wakishangilia wakati Kada wa CCM, Aboubakar Assenga alipokuwa akitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara.
Ali Kiba akimpa zawadi mchezaji bora katika mechi hiyo
Aboubakar Assenga akikabidhi zawadi ya pea moja ya jenzi, alipogawa jozi moja ya jezi kwa timu zote zilizoshiriki michuano ya Assenga Cup
Ali Kiba akitoa zawadi kwa nahodha wa timu ya Lumamo Cup, Hamza Ali baada ya timu hiyi kuibuka mshindi wa pili katika fainali za kombe la Assenga.
Ali Kiba akikabidhi zawadi ya kitita cha fedha kwa nahodha wa timu ya Kining'ina, Mohammed Abeid, baada ya timu hiyo kuibuka bigwa wa michuano ya Assenga, baada ya tmu hiyo kuizaba mabao 6-0 timu ya Lumamo katika mechi ya fainali kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara. Kushoto ni Kada wa CCM Aboubakar Assenga ambaye baadaye alitangaza nia kuwania ubunge jimbo la Kilombero
Msanii Ali Kiba akiwasili kwenye Uwanja wa Michezo, kumpiga tafu Kada wa CCM, Abubakari Assenga, ambaye alikuwa akitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero, katika mkutano uliofanyika Mang'ula mkoani Morogoro.
Msanii Alikiba akinena na wananchi alipompa tafu, Kada wa CCM, Abubakari Assenga, ambaye alikuwa akitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero, katika mkutano uliofanyika Mang'ula mkoani Morogoro.
Baadhi ya wadau wakiwa kwenye mkutano huo, kushoto ni Zainabu Bakari kutoka Umoja wa Vijana wa CCM.
Mtoto na karanga zake akiwa kwenye mkutano huo
Alikiba akiwasha moto kwa kuwashindanisha vijana kucheza muiziki wake kwenye mkutano huo
Baada ya kunogewa, Ali Kiba akaamua na yeye kusakata muziki na vijana hao aliokuwa akiwashindanisha.
Mama akishangilia kwa nguvu zake zote, Kada wa CCM, Abubakar Assenga alipokuwa akitangaza nia kuuwania ubunge jimbo la Kilombero katika mkutano huo uliofanyika Mang'ula.
Vijana wakiwa wamepanda kwenye mti kuhakikisha wanamuona Assenga wakati akitangaza nia kwenye mkutano huo
Assenga aakiwasalimia wananchi alipowasili katika mkutano wke wa kutangaza nia ya kugombea ubunge, uliofanyika Mang'ula
Kada wa CCM, Abubakar Assenga akiwahutubia wananchi alipotanagaza nia kuwania ubunge jimbo la Kilombero, katika mkutano uliofurika wananchi hao katika eneo la Mang'ula
Assenga akishauriana jamabo na Mweneyekiti wa CCM
Assenga akishauriana jambo na Kijana wa CCM Zainabu bakari
Abubakari Assenga, ambaye alikuwa akitangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Kilombero, akiwa na Ali Kiba jukwaani mwishoni mwa mkutano huo uliofanyika Mang'ula mkoani Morogoro. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO, KILOMBERO

NASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA LA KWA POLE,ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI NA VIPANDE
![]() |
Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi. |
![]() |
Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole. |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi . |
![]() |
Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole. |
![]() |
Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo. |
![]() |
Nassari akikabidhi Nondo kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Kwa Pole. |
![]() |
Nassari akitizama ujenzi unavyoendelea. |
↧
RAIA WA AFRIKA KUSINI WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA
![]() |
Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva Mallya akimpatia kinywaji ,Muigizaji Jacky mara baada ya kufika katika lango la Marangu ,akishuka kutoka Mlima Kilimanjaro.. |
![]() |
Washiriki wa timu hiyo iliyopanda mlima Kilimanjaro kwa uratibu wa Mfuko wa Mandela wakifika katika lango la Marangu mara baada ya kushuka kutoka mlima Kilimanjaro. |
![]() |
Miongoni mwa wapandaji hao alikuwemo Ofisa Uhusiano wa nje wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom,Maya Makanjee. |
![]() |
Makanjee akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wenzake wa zoezi hilo mara baada ya kushuka kutoka mlima Kilimanjaro. |
![]() |
Washiriki wa zoezi hilo wakifurahia Keki iliyopambwa kwa rangi za Bendera ya taifa la Afrika Kusini,na Baba wa taifa hilo,Mzee Nelson Mandela akisalimia. |
![]() |
Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro ,Erastus Runguro akizungumza jambo na muigizaji ,Jacky Devnarain (Rajesh Kumar). |
![]() |
Muigizaji Jacky akisindikizwa na Mhifadhi ,Charles Ngendo kupata sehemu ya kupumzika kwa muda . |
![]() |
Muigizaji Jacky(Rajesh Kumar ) akiwa amepumzika katika eneo maalumu la wageni . |
![]() |
Muigizaji Jacky (Rajesh Kumar ) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Tanzania,Ibrahim Musa , |
↧
JERRY SLAA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akionyesha fomu aliyojaza kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu nchini kote, wakati aliporejesha fomu hiyo katika ofisi za CCM wilaya ya Ilala aliyoikabidhi kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya ILALA (kushoto).
Jerry Slaa aliongozana na Mwenyekiti wa tawi la Gulukakwalala ambako ndio nyumbani kwake, Mwenyekiti wa CCM kata ya Gongo la Mboto pamoja na wazee wa jimbo la Ukonga.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kurejesha fomu yake ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu nchini kote.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi na wazee wa Ukonga aliombatana nao wakati wa kurejesha fomu.
↧
↧
Amini Salimini Ajinadi kwa Wanachama wa CCM Jimbo la Mkwajuni Unguja
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo las Mkwajuni Zanzibar Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Ndg Khamis Mohammed Jecha akifungua rasmini Kampeni xza Wagombea Uwakilishi Ubunge na Udiwani wa Jimbo la Mkwajuni katika Tawi la CCM Moga A Wilaya ya Kaskazini Unguja jana
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Amini Salimini Amour Juma akiwahutubia Wananchi wa Tawi la CCM Moga A Kaskazini A Unguja wakati wa uzinduzi wa kampeni uliozinduliwa Rasmin Zanzibar katika Majimbo yote ya Uchaguzi kupitia Matawi yao na kujinadi wagombea kwa Wananchi ili kupata ridhaa za kuchaguliwa.
Mgombea Ubunge Jimbo la Mkwajuni akimwa Sera zake kwa Wananchi wa Tawi la CCM Moga A Wilaya ya Kaskazini A Unguja wakati wa kuaza kampeni kupita katika Matawi ya CCM kuomba ridhaa zao kuchaguliwa kukiwakilicha Chama katika uchaguzi Mkuu wa Ubunge mwishoni mwa mwaka huu.
Amini Salimini akisisitiza jambo wakati akitowa sera zake kwa Wana CCM wa Moga Wilaya ya Kaskazini A Unguja jana katika viwanja vya tawi la CCM.
Viongozi wa CCM wanaosimamia kampeni za Wagombea wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar wakifuatilia kampeni hizo kwa wagombea wanaojieleza kwa Wananchi waliofika kuwasikiliza katika matawi ya CCM.
Wananchi wa Moga wakifuatilia Sera za Mgombea wa Ubunge wa Mkwajuni Amini Salimini Amour Juma, akimwaga sera zake kwa Wananchi wa Jimbo hilo.
Wanawake wa Tawi la CCM Moga wakimsikiliza Mgombea wa CCM Amini Salimini akizungumza na kutoa sera zake kwa Wananchi hao wakati wa uzinduzi wa kampeni zilizozinduliwa jana Zanzibar katika Matawi mbalimbali ya CCM katika Majimbo yao.
Makada wa CCM wakifuatilia kampeni za Wagombea wakati Mgombea Ubunge Amini Salimini akijieleza kwa wananchi hao katika tawi la CCM Moga.
↧
MISS KILIMANJARO AMBASSADOR YATOA MSAADA KWA FAMILIA ZA VIJIJI VYA RAU NA ULU
Mkurugenzi wa Shindano la Miss Kiliamnjaro Ambassador,Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwa udhamini wa kampuni ya Dream for Life iliyopo mkoani Kilimanjaro.
Warembo wa Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakiangalia wenzao wanaochuana katika mchezo wa kuvuta kamba,kukimbia na kucheza muziki,ambapo warembo hao waliwashinda wafanyakazi wa Dream for Life.
Warembo wanaowania taji la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015 wakishindana kuvuta kamba na Wafanyakazi wa kampuni ya Dream for life.
Shughuli hii ya utoaji msaada kwa wanakiji iliambatana na burudani pamoja kucheza muziki,shughuli hii ilifanyika nje kidgo ya mji wa Moshi.
Wanahabari wakifanya mahojiano na Baadhi ya warembo wa Shindano hilo baada ya kumalizika kwa shughuli hiyo,fainali za shindano hilozitafanyika ijumaa hii katika ukumbi wa Kili home Moshi mjini.

Warembo wakipanda Basi maalumu kwaajili ya shughuli za shindano ambalo hulitumia kwa shughuli za kutembelea sehemu mbakimbali,hii nimoja kati ya kazi za kijamii zinazoendelea kufanywa na warembo hao mkoani humo.
↧
MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MWANGA ARESHA FOMU
![]() |
Msafara wa Mtia nia ,Wakili wa kujitegemea,Msuya ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga wakati mtia nia huyo akirejesha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga. |
![]() |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ,Wakili wa kujitegemea ,Youngsevier Msuya akisalimia wakati msafara wake ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga. |
![]() |
Mtia nia wa Ubunge,Wakili wa kujitegemea,Msuya akisalimiana na wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi waliofika kumpokea wakati akirejesha fomu za kuwania nafasi hiyo katika jimbo hilo. |
![]() |
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ,Marry Msuya akifanya utamburisho wa wageni waliofika katika kushuhudia urejeshwaji wa fomu hizo. |
![]() |
Baadhi ya wananchma wa chama cha NCCR -Mageuzi wakiwa ndani ya ukumbi wa ofisi za chama hicho wilayani Mwanga. |
![]() |
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi taifa,Hemed Msabaha akitoa salmau kwa wananchama waliofika katika zoezi hilo. |
![]() |
Baadhi ya wanachama wa chama hicho. |
![]() |
Mtia nia Msuya akizungumza na wanachma walikokuwa ndabi ya ukumbi wa ofisi za Chama hicho . |
![]() |
Mke wa mtia nia Msuya,akisalimia ndani ya ukumbi huo mara baada ya kutamburishwa. |
![]() |
Baadhi ya wananchi waliofika katika kushuhudia zoezi hilo. |
![]() |
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi ,Wakili wa kujitegemea ,Youngseier Msuya akikabihi fomu kwa Mwenyekiti wa Chama hicho jimbo la Mwanga,Marry Msuya. |
![]() |
Mtia nia Msuya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wananchi waliofika katika kumsindikiza kurejesha fomu. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
↧
Balozi Seif Afungua Mkutano kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar Dk Shein,
Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaaf, Viongozi wa Dini na Vijana kutona Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar.
Viongozi wa Dini wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Saleh Omar Kabi akisoma Dua wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Kiongozi wa Dini ya Kikristo akiuombea Mkutano huo wakati wa ufunguzi wake katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifungua Mkutano huo wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, uliowashirikisha Marais Wastaaf Viongozi wa Dini na Vijana uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume mwenyeji wa Mkutano huo wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki, akizungumza wakati wa ufunguzi katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar, uliowashirikisha Marais Wastaaf, Viongozi wa Dini na Vijana.
Waziri Mkuu Mstaaf wa Kenya Mhe Raila Omolo Odinga akihutubiwa mkutano huo wakati wa ufunguzi wake katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
Rais Mstaaf wa Zambia Mhe Rupia Banda akihutubia mkutano huo wakati wa ufunguzi wake uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ulifunguliwa na Balozi Seif Ali Iddi kwa Niaba yake.
Viongozi washiriki waalikwa wa Mkutano huo wakifuatilia hutuba ya ufunguzi. Washiriki wa mkutano huo wakifuatili ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort mazizini Zanzibar.
↧
↧
Wagombea Ubunge na Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Wajinadi kwa Wananchi kuomba Kura
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Juma Fakhi Chum akifungua mkutano wa Kampeni ya Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani Jimbo la Kikwajuni Zanzibar katika Tawi la CCM Majumba ya Mjeru kikwajuni.
Mwenyekiti wa Mkutano wa Kampeni Mussa Rajab akiongozi mkutano huo wa wagombea katika Tawi la CCM kikwajuni kwa mjeru.
Wananchi wa kikwajuni wakiwasilikiza wagombea wao wakati wakijinadi katika Tawi la CCM kikwajuni
Wagombea Uwakilishi na Ubunge wakiwa katika tawi la CCM Kikwajuni wakiwa katika mkutano wa kampeni ya kuwania Ubunge na Uwakilishi wakijinadi kwa Wananchi wa Tawi la Kikwajuni kwa Mjeru
Wagombea Uwakilishi na Ubunge wakiwa katika tawi la CCM Kikwajuni wakiwa katika mkutano wa kampeni ya kuwania Ubunge na Uwakilishi wakijinadi kwa Wananchi wa Tawi la Kikwajuni kwa MjeruWagombea Uwakilishi na Ubunge wakiwa katika tawi la CCM Kikwajuni wakiwa katika mkutano wa kampeni ya kuwania Ubunge na Uwakilishi wakijinadi kwa Wananchi wa Tawi la Kikwajuni kwa Mjeru
Wagombea Uwakilishi na Ubunge wakiwa katika tawi la CCM Kikwajuni wakiwa katika mkutano wa kampeni ya kuwania Ubunge na Uwakilishi wakijinadi kwa Wananchi wa Tawi la Kikwajuni kwa Mjeru
Wagombea Uwakilishi na Ubunge wakiwa katika tawi la CCM Kikwajuni wakiwa katika mkutano wa kampeni ya kuwania Ubunge na Uwakilishi wakijinadi kwa Wananchi wa Tawi la Kikwajuni kwa Mjeru
Mgombea Uwakilishi katika Jimbom la Kikwajuni Saleh Ali Abdalla akitangaza sera zake endapo atachaguliwa wakati ukampeni hiyo Mgombea Ubungeb Jimbo la Kikwajuni Ndg Abbulkarim Abrazak Mukrim akijinadi kwa Wananchi waliofika kuwasikiliza wakati wa kampeni ya kuwania kuchaguliwa kuwakilisha Jimbo hilo
Wazee wa Kikwajuni wakifuatilia mkutano wa kampeni ya Wagombea Ubunge na Uwakilishi na Udiwani katika Jimbo la Kikwajuni Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmuod Mohammed Mussa akitetea Kiti chake cha Uwakilishi katika mkutano wa kampeni ya kuwania tena Kiti hicho
Mwanamke pekee aliyejitokeza kugombea Ubunge katika Jimbo la Kikwajuni Nuru Mohammed Ahmeid akitowa sera zake wakati wa kampeni hiyo kwa wananchi wa Tawi la CCM kikwajuni kwa mjeru.
Mgombea Ubunge Ndg Mohammed Ali Ahmeid akitangaza sera kwa mara ya pili kugombea nafasi hiyo uchaguzi uliopita kura zake hazijatosha amejitokeza tena kuomba ridhaa za Wananchi wa Kikkwajuni kugombea nafasi hiyo
Kocha Msoma akiwa katika hali ya utulivu akifuatilia sera za Wagombea wa Uwakilishi na Ubunge katika Jimbo la Kikwajuni wakati wa kampeni za kuwania nafasi hiyo uliofanyika katika tawi la CCM Kwamjeru kikwajuni.
Aliyekuwa Mwakilishi wa Rahaleo Mhe Nassor Salum Jazira akiwania nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni baada jimbo lake kuunganishwa na kikwajuni kuwa Jimbo moja akiomba ridhaa za Wananchi wa kikwajuni kumpa kura.
Mwananchi wa kikwajuni akimuulizac swali kuhusiana na timu ya kutembe kushindwa kuwalipia faini ya shilingi milioni moja ZFA, Na kujibu timu hiyo yeye ndiyev aliyeipandisha kwa kununua daraja na yeye ni mlezi wa timu za jimbo hilo wakati huo.
Mgombea Ubunge Ndg Mussa Shaal Chum akitangaza sera kwa kuwakomboa Vijana na kuwatetea kupata ajira na kuweza kupitisha miswada ya Sheria kwa umakini kutokana na yeye ni mwanasheria akitowa sera hizio wakati wa mkutano wa kampeni. kuwania nafasi hiyo
Mgombea nafasi ya Uwakilishi katika Jimbo la Kikwajuni Ndg Said Shaban Said, akijinadi katika mkutano huo wa kampeni ya kuwania nafasi hiyo katika jimbo la kikwajuni Zanzibar
Mwananchi wa kikwajuni akimuuliza suala kuhusiana na kujipanga vipi kuliongoza jimbo hilo endapo atapata ridhaa za wananchi
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Eng Hamad Yussuf Masauni, akimwa sera zake wakati akitetea nafasi yake ya Ubunge wakati wa mkutano wa kampeni katika tawi la CCM Kikwajuni kwa mjeru wakati wa zoezi la kampeni likiendelea katika jimbo hilo.
Wazee wa Kikwajuni wakifuatilia mkutano wa kampeni ya Wagombea Ubunge na Uwakilishi na Udiwani katika Jimbo la Kikwajuni Zanzibar.
Wananchi wakifuatilia kampeni hizo za uchaguzi wa Udiwani Ubunge na Uwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar, uliofanyika katika Tawi la CCM Kikwajuni kwa Mjeru.
Wagombea wa Ubunge Uwakilishi na Udiwani wakisoma dua na Viomgozi wa mkutano wa kampeni baada ya kumalizika kwa mkutano huo.Na OthmanMapara.Blog Zanzinews.Com.
↧
UN YAKANUSHA UZUSHI WA JAMII FORUM NA INDIAN OCEAN NEWSLETTER

Mratibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mipango ya maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bw. Alvaro Rodriguez.
UMOJA wa Mataifa umetaka vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa kuhakikisha vinatoa taarifa zao kwa usahihi kuhusu maandalizi ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe.
Kauli hiyo imetolewa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa Dar es salaam, kufuatia taarifa iliyochapishwa na jarida moja kwamba UN inataka kujitoa katika kusaidia mandalizi ya uchaguzi nchini Tanzania.
Aidha alisema kwamba si kweli kuwa Umoja wa Mataifa haujaridhishwa na mwenendo wa maandalizi ya uchaguzi nchini Tanzania na kwamba Umoja huo utaendelea kushirikiana na serikali na vyombo vingine vya uchaguzi kuhakikisha uchaguzi unakwenda vyema.
Indian Ocean Newsletter ya Julai 10 mwaka huu ilichapisha habari iliyoandikwa na kichwa cha habari “State is facing electoral commissions negligence” na kusema kwamba Mratibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mipango ya maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bw. Alvaro Rodriguez, haridhishwi na mwenendo wa maandalizi ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe na kutishia kuondoa msaada wa mamilioni unaoratibiwa na UNDP kutoka kwa wahisani mbalimbali.
Aidha Julai 15, 2015, mtandao wa Jamii Forum ilitafsiri habari hiyo kwa Kiswahili na kuitawanya kwa wasomaji wake.
Taarifa ambayo sio sahihi iliyochapwa na Jamii forum hii hapa link: http://www.jamiiforums.com/ jukwaa-la-siasa/885659-un- yaeleza-kutoridhishwa-kwake- na-vurugu-za-uchaguzi-nchini- tanzania.html#post13289399
Ukweli ulivyo
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini hajawahi kukutana wala kuzungumza na watu wa Indian Ocean Newsletter .
Aidha taarifa zilizotolewa na kijarida hicho na tafsiri yake iliyowekwa mtandao wa kijamii wa Jamii Forums hazikujengwa katika ukweli.
Pia Umoja wa Mataifa utaendelea kufanyakazi na mamlaka za Tanzania na wananchi wake na kuwa Uhusiano kati ya Umoja wa Mataifa na mamlaka za uchaguzi nchini Tanzania na Jumuiya ya kimataifa inayofadhili mradi wa DEP unawasilisha mahusiano muhimu miongoni mwa wadau mbalimbali wanaotaka kuwapo na uchaguzi huru na wa amani.
Alisema katika makubaliano kuna kamati ya mradi inayojumuisha wadau wote na ina wajibu kuongoza na kutoa mwongozo wa utekelezaji mradi huo kimkakati.
Maamuzi ya mradi huo hufanywa na kamati hiyo na kamati ya ufundi ya mradi iliyopo Bara na Zanzibar.
Kutokana na ukweli huo Umoja wa Mataifa unavitaka vyombo vya habari vya kitaifa na Kimataifa kuhakikisha kwamba inatoa taarifa za ukweli na za usahihi kipindi hiki cha maandalizi na uchaguzi wenyewe.

Background
The Democratic Empowerment Project is a three year project launched on the 12th of March 2013 and is directly executed by UNDP with UN Women and UNESCO through a donor basket fund. It follows two previous electoral support projects in Tanzania: the Electoral Assistance Project of 2005 and the Election Support Project of 2010. The USD 25m project has four main components, namely, a) supporting legal and institutional reforms; b) support improvement of Electoral Management body’s capacities(NEC and ZEC); c) promote inclusive participation in political and electoral processes, and d) support national peace infrastructures. More specifically, the project has been supporting both NEC and ZEC to improve their institutional capacity both in the context of the conduct of the voter registration process (but not the provision of the BVR kits which is the government’s responsibility) and the preparations for the 2015 general elections. DEP’s support has included technical and advisory services, staff training, voter education and stakeholder engagement. Such stakeholders include the Office of the Registrar of Political Parties, political parties, media, civil society and groups representing women, youth and people with disabilities. So far DEP has supported and implemented most of these activities either directly or via cooperation agreements with the electoral management bodies who execute specific activities directly in line with their mandate.
Issued by: The Office of the UN Resident Coordinator and UNDP Resident Representative – Mr. Alvaro Rodriguez
For more information, please contactHoyce Temu-UN Communications Specialist at hoyce.temu@one.un.org or Aine Mushi, UN Coordination Specialist at aine.mushi@one.un.org
Below is the Indian Newsletter article in French
↧
HERE COMES WOMEN’S EMPOWERMENT SHOW, SUCCESSFUL WOMEN IN THE SPOTLIGH

Educate, Empower and Inspire is a women’s empowerment show. The aim of this show is to put successful women in the spotlight and get a glimpse as to how they are making a difference to our society and how they can inspire others to do the same.
My first guest was Dr. Trish Scanlan who runs the paediatric oncology department at Muhimbili hospital. Since her involvement in 2008, along with her dedicated team of Tanzanian doctors and nurses, the short term survival rates of children with cancer rocketed from 12% to 60%.
check out the full interview here below;
↧